Luke 3:19-20

19 aLakini Yahya alipomkemea Mfalme Herode kuhusu uhusiano wake na Herodia, mke wa ndugu yake, na maovu mengine aliyokuwa amefanya, 20 bHerode aliongezea jambo hili kwa hayo mengine yote: alimfunga Yahya gerezani.

Kubatizwa Kwa Bwana Isa

(Mathayo 3:13-17; Marko 1:9-11)

Copyright information for SwhKC